I fell Nilianguka ((1,0),(2,2)) I am falling Ninaanguka ((1,0),(2,2),(3,2)) The plate fell. Sahani lilianguka ((1,0),(2,1),(3,2)) The plate is falling Sahani linaanguka ((1,0),(2,1),(3,2),(4,2)) The egg fell Yai lilianguka ((1,0),(2,1),(3,2)) The eggs fell Mayai yalianguka ((1,0),(2,1),(3,2)) The tree protected the animal Mti ulimkinga mnyama ((1,0),(2,1),(3,2),(4,0),(5,3)) The trees protected the animal Miti ilimkinga mnyama ((1,0),(2,1),(3,2),(4,0),(5,3)) A tree protected the animal Mti ulimkinga mnyama ((1,0),(2,1),(3,2),(4,0),(5,3)) He took the book Alikichukua kitabu ((1,0),(2,1),(3,0),(4,2)) He took a book Alichukua kitabu ((1,0),(2,1),(3,0),(4,2)) The hunter caught the animal Mwindaji alimnyaka mnyama ((1,0),(2,1),(3,2),(4,0),(5,3)) A hunter caught the animal Mwindaji alimnyaka mnyama ((1,0),(2,1),(3,2),(4,0),(5,3)) The rocks are falling Miamba inaanguka ((1,0),(2,1),(3,2),(4,3)) Rocks are falling Miamba inaanguka ((1,1),(2,2),(3,2)) Maria stole the feather Maria aliliiba nyoya ((1,1),(2,2),(3,0),(4,3)) Maria stole a feather Maria aliiba nyoya ((1,1),(2,2),(3,0),(4,3)) Two cats ran across the street Paka wawili walivuka barabara ((1,2),(2,1),(3,3),(4,3),(5,0),(6,4)) Three cats ran across the street Paka watatu walikimbia na kuvuka barabara ((1,2),(2,1),(3,3),(4,4),(4,5),(5,0),(6,6)) I saw two dogs Niliwaona mbwa wawili ((1,0),(2,1),(3,3),(4,2)) I saw many dogs Niliwaona mbwa wengi ((1,0),(2,1),(3,3),(4,2)) Her car is old Gari lake ni kuukuu ((1,2),(2,1),(3,3),(4,4)) His car is old Gari lake ni kuukuu ((1,2),(2,1),(3,3),(4,4)) She loves her sister Anampenda dada yake ((1,0),(2,1),(3,3),(4,2)) She loves her brother Anampenda kaka yake ((1,0),(2,1),(3,3),(4,2)) David was the first son Daudi alikuwa mtoto wa kwanza wa kiume ((1,1),(2,2),(3,0),(4,5),(6,3),(6,7)) David was the second son Daudi alikuwa mtoto wa pili wa kiume ((1,1),(2,2),(3,0),(4,5),(6,3),(6,7)) He sat in the third row Aliketi kwa msitari wa tatu ((1,0),(2,1),(3,0),(4,0),(5,5),(6,3)) He sat in the fourth row Aliketi kwa msitari wa nne ((1,0),(2,1),(3,0),(4,0),(5,5),(6,3)) My sister's car is old Gari la dada yangu ni kuukuu ((1,4),(2,3),(3,1),(4,5),(5,6)) Her sister is young Dada yake ni kijana ((1,2),(2,1),(3,3),(4,4)) Maria's brother likes to play Kakake Maria anapenda kucheza ((1,2),(2,1),(3,3),(4,0),(5,4)) Maria talked Maria aliongea ((1,1),(2,2)) I have been in the house Nimekuwa kwa nyumba ((1,0),(2,0),(3,1),(4,2),(5,0),(6,3)) I have been in that house nimekuwa kwa hiyo nyumba ((1,0),(2,0),(3,1),(4,2),(5,3),(6,4)) The two houses are big Nyumba mbili ni kubwa ((1,0),(2,2),(3,1),(4,3),(5,4)) Those two houses are big Hizo nyumba mbili ni kubwa ((1,1),(2,3),(3,2),(4,4),(5,5)) Four cats ran across the street Paka wanne walikimbia na kuvuka barabara ((1,2),(2,1),(3,3),(4,4),(4,5),(5,0),(6,6)) Two men danced wanaume wawili walicheza dansi ((1,2),(2,1),(3,3),(3,4)) Many men danced wanaume wengi walicheza dansi ((1,2),(2,1),(3,3),(3,4))